Page 16 - grade4flip
P. 16
TENDER CARE JUNIOR ACADEMY LTD
P.O BOX. 70-00515, NAIROBI, TELEPHONE 020-2352013/020-8075024, 0101959093
Email:info@tendercarejunioracademy.com
Website: www.tendercarejunioracademy.com
GREDI YA NNE
KAZI YA LIKIZO YA APRILI
Juma la kwanza . (siku ya Jumatano)
MSAMIATI WA MAVAZI
1. Chora mavazi manne yanayovaliwa na watu hawa:
(a) Wanawake
(b) Wanaume
2. Andika mavazi mawili yanayovaliwa miguuni
3. Ni vazi lipi ambalo huvaliwa shingoni?
4. Taja mavazi mawili yanayovaliwa na wanawake pamoja na wanaume
Juma la pili (siku ya Jumatano)
KUSOMA UFAHAMU( UMUHIMU WA AFYA BORA)
Soma ufahamu katika kitabu cha kielekezi ukurasa. wa 160-161 kisha ujibu maswali ya
ufahamu zoezi la 1
Juma la tatu ( siku ya Jumatano)
KUANDIKA
Andika insha kuhusu umuhimu wa miti
Vidokezo
Makao ya wanyama
Kutengenza makao ya binadamu
Kuvuta hewa safi
Hutumika kama dawa
Kutengeneza samani/fanicha
Juma la nne (siku ya Jumatano)
SARUFI

